Kabla na baada. Inanishangaza sana

kumbe wewe wa kiumeni siku zote nlifikiri mbeijing
 


wife anakupenda kwa dhati ila we ndo hujatulia tu
 
Mhh. Lakini bado hainingii akilini. Umefika hadi G.House, Umesaula ukiona simu ya mkeo inakupigia tu basi unaahirisha mpambano! Si bure.

mbona akikupigia wakati uko ofisini,unaona kawaida!!!!!

kuahirisha mpambano sijajua,mwingine akiona sim
mdo anavua na boxer vizuri tu
 
Reactions: awp
hongera kwa kukiepuka kikombe hiki........
 
Jitafakari upya, then jipime why you and not yule!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…