Kabla mkopo haujatoka, ada ya chuo unalipa yote?

Kabla mkopo haujatoka, ada ya chuo unalipa yote?

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
Wakuu,
Hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hivi karibuni lakini mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata.
Ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubiri mkopo.
 
Acha kujira xn
Cha mcng n kujiandaa kisaikolojia tuuuu
Bt kama mtonyo upo kwenu ww lipa yote
 
wakuu,
hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hv karibun lakin mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata.
ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubir mkopo.
Kila chuo kina utaratibu wake wengne ni wavumilivu... yaani wanaweza subir mpk upate mkopo lkn wengne lzm utoe...
.
.
Na ukipata mkopo kukurudishia ni process sana.... na uchukua muda
.
.
Cha umuhimu ulizia utaratibu wa chuo chenu kwa kudownload admission letter
 
angalia chuoni kwenu mwisho wa registration lini, kama UD mwisho tar 21 so ada unaweza kulipa hata tar 20. usilipe mpaka majina yatoke.
 
Kila chuo kina utaratibu wake wengne ni wavumilivu... yaani wanaweza subir mpk upate mkopo lkn wengne lzm utoe...
.
.
Na ukipata mkopo kukurudishia ni process sana.... na uchukua muda
.
.
Cha umuhimu ulizia utaratibu wa chuo chenu kwa kudownload admission letter
asante kwa ushaur wako
ila mkuu,
admission latter wameandia amount ya ada tu pa1 na ac namba. hawajaandika kama unalipa yote au nusu.
 
Ili kua admitted unatakiwa kulipa ada atleast 50% lakini ushauri wangu vumilia majibu ya mkopo yatoke kwanza kwani ukilipa na ukapata mkopo, chuo hua wana utaratibu mbovu na mzunguko mrefu mpaka uje kuipata hiyo hela uliolipa...
 
wakuu,
hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hv karibun lakin mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata.
ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubir mkopo.
Hua unatakiwa kulipa 60% ya ada lakini mdogo wangu kama huna hela bora usilipe usubiri kujua hatima ya mkopo kwanza ili kama hujapata ulipe hizo asilimia kisha upostpone mpaka next year
 
je ukishindwa k
ulipa inakuaje masomo inakuwa mwisho au kuna namna nyingine
 
Mbona nackia et unatakiwa ulipie necessary requirement mfn registration amount,na vngine vngine uku ukisubiria majina ya mkopo
 
Back
Top Bottom