Kabla hujafanya ngono bila kinga

Kabla hujafanya ngono bila kinga

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,400
Watu hawasikii wala hawataki kuambiwa kuhusu hili gonjwa la UKIMWI
Kabla we msichana au mwanamke au we kijana au mwanaume hujafanya ngono bila kinga tafuta wodi za wagonjwa wa UKIMWI ukatembeleee huko kwanza then ukirudi uendelee kufanya ngono bila kinga
Nakusisitizia fanya kazi zaidi kuliko kuwaza ngono kama kicheche
 
Wagonjwa wa ukimwi siku hizi wanameza ARV wana vitambi na matumbo makubwa ukisema ujifunze kwao utaishia kuwa bingwa la ngono,ushauri wako wa mwisho unafaa zaidi 'usiwaze ngono kama kicheche' kama huwezi kutokuwaza basi fanya ngono salama(tumia kinga).
 
Dah!!!miaka ya nyuma kidogo kunandugu yangu alikuwa na tatizo la Ukimwi sasa wakati yuko kwenye stage za mwisho za kututoka alipata shida sana mangonjwa kibao yalimsonga na mademu na masela wake wote waliokuwa nae kipindi cha bata sikuwaona kiukweli roho yangu ilichafuka toka siku hiyo mimi na ngono basi Ngoja nijipange nioe huwenda akili itakaa sawa.

Note.vijana ukimwi sio tatizo dogo ni hatari.
 
Back
Top Bottom