Kabisa sijui wanajadili nini hapa

niko bk mkuu nililala guest jana kitandanda kilikuwa na cover ya plastic,asuhuhi nauliza muhudumu anasema eti ili godoro lisilowe,nakamuuliza lisilowe nini kwani wana lala watoto humo?akaanza kucheka sasa embu nifahamishe

Naukumbuka hii habari Marire
 
Last edited by a moderator:
niko bk mkuu nililala guest jana kitandanda kilikuwa na cover ya plastic,asuhuhi nauliza muhudumu anasema eti ili godoro lisilowe,nakamuuliza lisilowe nini kwani wana lala watoto humo?akaanza kucheka sasa embu nifahamishe

Katerero ni nouma..... Ufundi ukitumika ipasavyo maji meupe yasiyo na harufu lazima yatoke kama kidumu kimoja hivi! Godoro laweza kutota....
 
JF kuna wajuzi wa mambo mengi na wakila aina
 
Hapo jamaa alikuwa ameingia mrango wa sebuleni, sasa anataka jamaa aingilie jikon. Hapo biti anafikilia.
 
Anamueleza alivyo wekeza na tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…