Kabinti haka kamesimama kwenye fani aisee...!

Kabinti haka kamesimama kwenye fani aisee...!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
3880050_screenshot201606211500302_jpegbf0b9fd44dad22637a8cbc2367046d50

haka katoto kako vizur kwel napenda comedy zake kana jitahidi kwakwel
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Then I'll be your Doughter [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wasije tu waka mLulu kama Elizabeth Maiko enzi zake
 
Wasije tu waka mLulu kama Elizabeth Maiko enzi zake
[emoji17] [emoji17] [emoji17] tatizo hii haiepukiki mkuu ni kama ngazi kwenda hatua nyingine, watapiga tu wakati ukifika.
 
Emannuella kanafanana sana na kabint ka rafiki yangu fulani kama mapacha
 
[emoji17] [emoji17] [emoji17] tatizo hii haiepukiki mkuu ni kama ngazi kwenda hatua nyingine, watapiga tu wakati ukifika.
Wakati ukifika hakuna shida, tatizo wadau huwa hawangoji. kwani Lulu walingoja wakati?
 
Back
Top Bottom