Hey, mambo?Mwamunyange
Mwamposa
Christopher Mwakasege
Professor Anangisye
Anthony Lusekelo
Rayvanny
Bahati Bukuku
Boniface Mwaitege
Martha Mwaipaja
Wengineo
Sawa kujuana mbona ulimi nje sasaHey, mambo?
Mbeya moja hii, tujuane bhas
Chid BeenzNjoo tuambizane hapa, kabila lako limetoa mtu gani maarufu.
Cc Zero IQ
Hilo tabasam tuu, jinsi nimekuwa interested kutaka kufahamiana...😀Sawa kujuana mbona ulimi nje sasa
Kapuya MnyamweziPoliticians
1.Asha Rose Migiro
2.Juma Kapuya
3.Jumanne Maghembe
Artists
1.Dark Master
2.Nandy
Kapuya najua ni mnyamweziPoliticians
1.Asha Rose Migiro
2.Juma Kapuya
3.Jumanne Maghembe
Artists
1.Dark Master
2.Nandy
Hii avatar kidogo nikusahau inavutia, ila nimeimiss ile ya zamaniiii.Magufuli hakuwahi kuwa msukuma kama Makani na Bomani. Wengi wao hujifanya wahaya, waha na wasukuma lakini ukweli wa ndani tunaufahamu.
Diamond anaitwa Nyange jina la mwisho,sasa unamuwekaje kwa Waha?Diamond
Alikiba
Upendo Nkone
Chege n.k
Prishaaaaaz, how is your Holy Week! Hope Palm Sunday went down well....Hii avatar kidogo nikusahau inavutia, ila nimeimiss ile ya zamaniiii.
JUMA LOKOLE nini?Mpaka aibu kutaja
Njoo tuambizane hapa, kabila lako limetoa mtu gani maarufu.
Cc Zero IQ
Went very well Malcom and still on reflection thank you for asking, hope you do too.Prishaaaaaz, how is your Holy Week! Hope Palm Sunday went down well....
Aiseee, ile Avatar ya zamani nimeipumzisha kidogo....
Hiiiiiiiiii, wako wengi kweli, sisi ni wale ambao tunapenda sana misifa......... 😆Went very well Malcom and still on reflection thank you for asking, hope you do too.
Nimeangalia celebrity wa kabila lako sijamuona 😁
Haahaha nimecheka kwa sauti, ulivyosema wapo wengi umekosea ujue.. wenzio wangesema wote ni maarufu.Hiiiiiiiiii, wako wengi kweli, sisi ni wale ambao tunapenda sana misifa......... 😆
Actually wote ni maarufu, na wote pia tumesoma Marekani.....Haahaha nimecheka kwa sauti, ulivyosema wapo wengi umekosea ujue.. wenzio wangesema wote ni maarufu.