Wanyaki wote hoyeee...sisi ni watu ungwee...warefu,vifua vya mapenz kwa wanaume tunavyo,wanawake wakarimu na wachapa kazi hoyeeee.....na zaidi tumeenda shule sio kama wazalamo
Hakuna raha kama kuongea lugha yako nafurahi sana nikiona watu wanaongea lugha yao hiyo imenishawishi nijifunze lugha nne ambazo watu huwa wanashangaa nikiziongea yaani acha tu
Waacheni jamaa wapige lugha yao....Jamaa mmoja alikuwa anatania enzi zile Bima ya kina Mwaikambo na Kasamala, unakuta tangazo linasema NO VACANCY....Hakuna kazi....Imbombo ilipo.
Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!
Mma namutujobheghe itolo,lugh yetu tunaipenda,hata nilipokuwa chuo kinyakyusa kilikuwa mtindo mmoja.muwe na amani jamani sisi ni mazalendo wa kabila letu.