Kabila la wanyakyusa

n ishara yakujiamin na kujivunia lugha na kabila lao,wengine wanaogopa kuongea lugha zao za asili maeneo ya mjini kwa kuhofia wataonekana wakuja
 
Mnitafsirie na haya maneno akasumo kalinkujha ka mpyenyule, kyannala
 

Wewe umewafahamu hakika usilondisye sya bhanafyale bhosa abo! Karibu tena
 
Wewe umewafahamu hakika usilondisye sya bhanafyale bhosa abo! Karibu tena

Nilikupenda sana unyakyusani...mosa mu Ntaba, n'Kyangala, n'Katumba Songwe, Talatala,Ikama, Ndola na kile kikundi cha ngoma kilichowika sana miaka hiyo "Ing'oma lya Lughombo" wakati wa "mipalano" yaani mialikano...WANYAKYU NAWAPA BIG UP SANA...HIVI UTAMADUNI WA "FILUMYANA N'INDILANILO" MNAUENDELEZA !!?? Nikumbusheni bwana nime-miss sana sana sana...nilifika kijiji walichozaliwa wachezaji mahili wa Simba, CDA na Yanga akina Willy Mwaijibe, Yusuf Ambwene na Israel Mwansasu

Ndaga lelo ngumbwike kutali...uswe ikyitu ikinyamwezi kikusobha...
 
Kuna demu mnyakyusa namfukuzia, naombeni mamistari ya kumtupia ya kilugha.
 
Ulishawahi kufika bukoba, mbona utalia....

Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…