Kabila gani linaongoza kuachika!!!

Hili la ngumi tumuulize kibonde ana uzoefu nalo sana
mzeeeeeee wa @#$^%&&&&&&&&&&&&&& upo leo jamvini??
 
wafipa na sasa wameanza wamakonde kurudisha wake zao Ntwara wao wakibaki na hawara Dar
afadhali wachaga wao wanajua ukiolewa lazima mzee moshi akapime uwezo wako unakaa kule na matokeo yake wengine wamezaliwa na babu zao huku mttoto akibakia kutoa jina....nyie mnaoolewaa uchagani jiandaen na hili CHK D huko Kiraracha
 
Huku tukiwa katika muendelezo wa kufunda vijana wanaotaka kuoa Jf leo tunakuja na swali muhimu zaid kuna ndoa nyingi tu zinakufa kwa namna moja ama nyingine kutokana na mwenza kutopata matarajio alioyafikiria so si haba leo kuja kupeana wenye kaufahamu kabila gani linamfikisha mwenza shereheni
bila kulalamika kwa wakweze!!kazi kwenu mliooa tuwasaidie vijana wasije juta
 
Kuna thread ya hivi ilishachangiwa hivi karibuni tu
Waweza peruziii na kudadisiiii:A S-alert1:
 
haya mambo hayategemei kabila.. inategemea na mazingira mtu aliyokulia!
 
Back
Top Bottom