INAUZWA Kabati la Milango mitatu Mninga (Mbao ngumu) linauzwa

Hata sio Mninga, acha kudanganya hapa.
Afu wee kada wa mboga mboga, unauza kabati buku 7 hupewi?
 
Kama kitu haukijui ni bora ukakaa kimya.

Heshimu biashara za watu.
ninalo kabati la mninga, kitanda na dressing table za mvule na milango yangu yote ya mitiki.

Narudia, huo wenye mistari hivyo siyo mninga. Sijavunja biashara ya mtu mimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom