Kabang... Hakuna loloteee

Then you must be in the middle of nowhere...
 
Hawa Tigo hakuna kitu kabusa.. Tangu tarehe 12 mpaka leo haukuna cha kabang wa kebeng.. kila unayemfuata anaongelea kitengo husika... hao kitengo husika hawaonekani wala hawaonge.. ofisi zao hawana msaada juu ya kabang.... Ukijiunga ndo imekula kwako.

Tangu jana namba yangu waliiua kisa hayo ma kabang na bado wakashindwa tatua tatizo kwa zaidi ya 72hours (3days), na leo naambiwa sina salio kwenye akaunti ya kabang. Kamwe sitarudia makosa kuwaamini hawa matapeli waliopitishwa na kuidhinishwa na kulindwa na serikali.
 
Cha kushangaza japo watu twalalamika weee.. mwisho wa siku hatuhami yani, dah tigo bana...
 
Mambo yote yako airtell yatosha.Mimi line yangu ya tigo natumia kupokelea simu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…