JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
mimi nafikiri labda tatizo lipo kwenye simu yako....mimi nimejiunga toka juzi yaani ni poa sana....nimeshaangalia movie online zaidi ya 5 na mpka sasa speed ya kutosha hakuna kukwama kwama wala nini hapa sasa hivi naangalia THE HOBBIT yaani ni noma KAABANG!!Tigo Hakuna kitu.. Leo nimejiunga na hiyo kabang yao tangu asubuhi nimejikuta naambulia dakika za maongezi tu... mpaka sasa wanagongana manano tu nikipiga...
Sasa hapa nawaza hivi hata ikitokea nikaanza kupata hiyo internet ... spidi itakuwaje?
kabaang TANGAZO BAYAA!
Nimejiunga tokea jumapili jioni wakanipa SMSTigo Hakuna kitu.. Leo nimejiunga na hiyo kabang yao tangu asubuhi nimejikuta naambulia dakika za maongezi tu... mpaka sasa wanagongana manano tu nikipiga...
Sasa hapa nawaza hivi hata ikitokea nikaanza kupata hiyo internet ... spidi itakuwaje?
Tigo Hakuna kitu.. Leo nimejiunga na hiyo kabang yao tangu asubuhi nimejikuta naambulia dakika za maongezi tu... mpaka sasa wanagongana manano tu nikipiga...
Sasa hapa nawaza hivi hata ikitokea nikaanza kupata hiyo internet ... spidi itakuwaje?
hivi kuna watu huwa wanatumia internet ya tigo kabisaaa....!!!?? mi katika zaidi ya mara 50 nilizojaribu kutumia internet ya tigo ni kama mara moja tu ndo angalau nilifanikiwa kuload page ya google tena baada ya kusubiri kama dakika 2 nzima hivi.....tigo mi nawasifu kwa kupiga simu tu...ila net...mmmhhh:nono::nono::nono:..
Kwa sasa natumia hiyohiyo kabang ya tigo ila iko slow sana labda watabadilisha tusubiri tuone
Hapo mwisho ongezea SANAAA! kuwashauri tu..wabadilishe tangazo lao.
Jamani tuongee ukweli lini tiGo walikuja na tangazo zuri? kidogo wakati Twissa yupo tigo walijaribu jaribu kuboresha matangazo yao kumbuka lile la Mmasai na mbuzi
arif, mimi leo walinupa asubuhi ikawa mwendo wa kobe. Nikamaindi nimeenda wameua na laini kabisa
arif, mimi leo walinupa asubuhi ikawa mwendo wa kobe. Nikamaindi nimeenda wameua na laini kabisa