BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Jan 31, 2013 #2 Ngoja kwanza nivae miwani yangu ya kutafsri picha
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Jan 31, 2013 #3 Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah......
Son of Chief Member Joined Jan 30, 2013 Posts 63 Reaction score 11 Jan 31, 2013 #4 Preta said: Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah...... Click to expand... Bado upo macho?...
Preta said: Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah...... Click to expand... Bado upo macho?...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,992 Reaction score 77,292 Jan 31, 2013 #5 Ustadh anamwaga ndogo hovyo lakini Paka alenga shimo kwa makini.
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Jan 31, 2013 #6 Preta said: Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah...... Click to expand... kakojoe ulalae we mtoto.... usiku sasa
Preta said: Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah...... Click to expand... kakojoe ulalae we mtoto.... usiku sasa
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Jan 31, 2013 #7 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Mkuu Mbuzi Mzee Paka anayo akili kumshinda binadamu, binadamu akili yake kama ni mnyama na kuna wanyama wana akiliza kibinadamu. uUnaona jinsi video inavyoonyesha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Mkuu Mbuzi Mzee Paka anayo akili kumshinda binadamu, binadamu akili yake kama ni mnyama na kuna wanyama wana akiliza kibinadamu. uUnaona jinsi video inavyoonyesha?
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Jan 31, 2013 #8 Kennedy said: Ustadh anamwaga ndogo hovyo lakini Paka alenga shimo kwa makini. Click to expand... Unaharibu jina Bwana usimwite Ustaadh kila anae vaa kanzu na kilemba atakuwa ni Ustaadh? ahhh muite muarabu sio Ustaadh Kennedy Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kennedy said: Ustadh anamwaga ndogo hovyo lakini Paka alenga shimo kwa makini. Click to expand... Unaharibu jina Bwana usimwite Ustaadh kila anae vaa kanzu na kilemba atakuwa ni Ustaadh? ahhh muite muarabu sio Ustaadh Kennedy
M mzeelapa JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 1,124 Reaction score 408 Jan 31, 2013 #9 Kazi kuflash
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jan 31, 2013 #10 kweli....?