Kaamua kuwa na classmate wetu

Kaamua kuwa na classmate wetu

Pejokiss

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
227
Reaction score
117
Habarin wandugu

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kipindi niko shule ila tuliachana baadae akaja kuwa na ukaribu ambao ulionekana kurudisha penzi letu.

Cha ajabu ni kuwa juzi kati kanitumia ujumbe kwenye simu akiomba nimsamehe kuwa hawezi kurudi kwangu ila ameamua kuwa na aliyekuwa classmate wetu sote.

Sikuumia ila nilichukia kwa sababu sikuona haja ya yeye kuwa na classmate wetu japo kuwa mimi nae hatukuwa tumerudiana fully.

Naombeni ushauri wenu nimchukulie vipi huyu binti au ni haki yke kufanya hivyo?
 
Ni hivi,wewe ni goigoi kunako 6 kwa 6,huyo clasmate wako anamkaza vizuri demu wako huyo wa zamani.
 
kwanza kakuheshimu mpaka na taarifa kakupa.

Alafu inaonekana we ndo ulikua na matatizo mpaka class mate alikua anajiuliza ntampata lini mtoto huyu!!!.
 
Nani alikuambia una haki ya kumchagulia partner ex wako? Let him be in your past. Hebu jishughulishe na yaliyokuzunguka
 
Nani alikuambia una haki ya kumchagulia partner ex wako? Let him be in your past. Hebu jishughulishe na yaliyokuzunguka

c kwamba namchagulia ila mazngira yalionesha yy kufurah zaid kurud kwangu ila alivyogeuka ndo inashangaza
 
Mpeleke mahakamani.....ni kinyume na haki za binadam....
 
Back
Top Bottom