Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

makev

Member
Mar 20, 2017
31
8
Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya kuponesha ila kutuliza tu hiyo hali , msaada tunamnusulu Vip huyu mtu mana saizi anamawazo Kweli. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni Kweli huo Ugonjwa wa Rheumatoid Arthritis Hauna dawa za Kizungu aka Dawa za Sumu za Ma-Hospitali. Ila huo Ugonjwa wako wa Rheumatoid Arthritis Unao dawa zetu za Asili ukihitaji nitafute kw awakati wako nipatekukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Asante mkuu mida nitakutafuta mana jamaa kashanza hana amani kabisa
 
Mkuu ni Kweli huo Ugonjwa wa Rheumatoid Arthritis Hauna dawa za Kizungu aka Dawa za Sumu za Ma-Hospitali. Ila huo Ugonjwa wako wa Rheumatoid Arthritis Unao dawa zetu za Asili ukihitaji nitafute kw awakati wako nipatekukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Uko mkoa gani?
 
Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya kuponesha ila kutuliza tu hiyo hali , msaada tunamnusulu Vip huyu mtu mana saizi anamawazo Kweli. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
DMARDs, such as methotrexate, hydroxychloroquine, leflunomide, and sulfasalazine, slow the progression of rheumatoid arthritis and are given to nearly all people with rheumatoid arthritis.

Em kama ajatumiaa izo dawa basi mwambiee atumiee apo mojawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaanze na kutumia NSAiDs(naproxen or ibuprofen) kwaajili ya kupunguza Inflamation or kama ana ulcers atumie celecoxib,then cortical steroids(predinisolone)....then ndo amalizie na methotrexate,cycloiphosfamide
 
Huu ni autoimmune disease so una attack (shambulia) kwenye joint (maungio) ambako kuna synovial fluid na kusababisha inflammation(kuvimba) vilevile hupelekea mpaka cartilage kulika labisa ambazo hupatikana kwenye kingo za mifupa
 
Koroga bizari ya njano changanya na mdarasini kunywa mara tatu kwa siku au hata mara nyingi. Kunywa maji kibao na jiepushe na pombe wakati unajitibia.
 
Anhaa pliz naomba uziseme dalili zake uyo mgonjwa (uzitaje symptoms zake)
Dalili zake joint za kwenye mkono karibu na vidole, joint za magoti zinakaza pia kuvimba, anachemka na maumivu makali. Ametumia predinesolone inapunguza kwa mda mrefu inapunguza tu maumivu lkn hali iko vilevile.
 
Aaanze na kutumia NSAiDs(naproxen or ibuprofen) kwaajili ya kupunguza Inflamation or kama ana ulcers atumie celecoxib,then cortical steroids(predinisolone)....then ndo amalizie na methotrexate,cycloiphosfamide
Kwahiyo hizi dawa zinapunguza tu inflammation lakini zile complications kama damage ya vidole hazitampata?
 
Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya kuponesha ila kutuliza tu hiyo hali , msaada tunamnusulu Vip huyu mtu mana saizi anamawazo Kweli. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu huo ugonjwa sio cured ila unakua treated kupunguza symptoms
 
Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya kuponesha ila kutuliza tu hiyo hali , msaada tunamnusulu Vip huyu mtu mana saizi anamawazo Kweli. Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
vipi mpango huu wa balozi wa cuba Humphrey polepole umejiunga
 
Back
Top Bottom