Junior Hamis
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 354
- 294
kwa wale wapenda game la fifa siku ya ijumaa game la fifa18 litaanza kupatikana officially katika device tofauti tofauti kama game consoles, pc, phone etc. nini maoni yako baada ya kuangalia demo ya hili game unategemea nini?