Kaa nami bwana ni usiku sana usiniache gizani

Kaa nami bwana ni usiku sana usiniache gizani

bado sio hii, hata mimi kuna wimbo niliwai kuwekewa studio ulivofutika sikuweza kuupata YouTube wala popote.

unaimbwa: kaa nami, ni usiku tena, usiniache gizani...
Huo wimbo ni tenzi.. so kila mwimbaji anaimba awezavyo. Na Sauti ya KKKT haitafanana na akiimba wa TAG..
 
Kumbe tenzi za rohoni zipo za kiingereza wajuba, ni hizihizi za kiswahili pia huimbwa kwa kiingereza kwa sauti ileile
 
Back
Top Bottom