Babu kumbe upo kwenye kitengo
Pia kuna;Duh pole sana mdau
Bonge la ngoma nimemkumbuka marehemu bibi yangu.
🔥🔥Wadau mwenye hiyo ngoma ... Sijui ni ya Anjela Chibalonza? Nahitaji sana ...
Ya moto ingine 😁Wadau mwenye hiyo ngoma ... Sijui ni ya Anjela Chibalonza? Nahitaji sana ...
Nimecheka mpaka nimepaliwa, una nini lakini 🤣🤣🤣🤣
semaaa tu hadi umekunyaaaa 😁😁😁
Nitakucharaza dogo, kuwa na adabusemaaa tu hadi umekunyaaaa 😁😁😁
Imekuwaje tena unahitaji nyimbo za kunenea kwa lugha?Wadau mwenye hiyo ngoma ... Sijui ni ya Anjela Chibalonza? Nahitaji sana ...
Mkuu fanya utusaidie audioPia kuna;
1. Usinipite mwokozi
2. Mwamba wangu wa kale
3. Bwana nasikia kwamba
4. Yesu ni rafiki yetu
5. Bwana Yesu uko wapi
Dah, R.I.P bibi yangu, alinilea kwenye misingi.
Ingia youtube mkuu zipo zote.Mkuu fanya utusaidie audio