ka quotes ka usiku wa leo....

ka quotes ka usiku wa leo....

Vp mbona mjini kimenuka umekacha na makago

ah ah ah! Sungura Toto ulimpata shemeji? maana leo naona umerudi kwa furaha sana, tofauti na siku ile ulikuja unalilia lia hadi uluma... mtoto wa kiume unatakiwa uwe imara banaaaaa .........
 
Last edited by a moderator:

Wp bana mm yule ni mshkaji wangu wala hanaga story za huku ila aliponipigia story ikaniumaa ndo nikaileta huku ila nasikia jamaa kashindwa kuishi na kicheche na navyojua kimekula kuku wote jamaa kaanza ufugaji upya!
 
Kwani ww Manoah c unamfahamu vizuri pamoja na jamaa mmoja anajiita tonypk aliyempa mimba shemejio hahaaaa!!
 
Pole sana ndugu! hata mimi kwa maelezo mafupi ambayo nimeyasoma kutoka kwako inaonekana jamaa kaumia..
Ila ndio maisha yatupasa kusamehe na kusonga mbele pasipo kuangalia mapungufu na madhaifu ya hawa ndugu zetu...
Jamaa yako mshauli awe mvumilivu, asichukue maamuzi ambayo badae anaweza yajutia....

Pamoja sana mkuu Sungura Toto
 
hapa ndugu hadi nachanganyikiwa, tatizo lilo mkuta jamaa ni zito inabidi kutumia akili sana ..... Tonykp ni mtu wangu sana humu jamvini
 
Last edited by a moderator:
Wp bana mm yule ni mshkaji wangu wala hanaga story za huku ila aliponipigia story ikaniumaa ndo nikaileta huku ila nasikia jamaa kashindwa kuishi na kicheche na navyojua kimekula kuku wote jamaa kaanza ufugaji upya!

hahahaaaaaaaaaaa!!
kama kaanza ufugaji upya c atulie
wewe anakutuma ya nn,maneno ya wakosaji hayo
teh teh teheeeeee!!kuachwa kunamuuma lolz!!
t
 
Kwa staili hy hufiki mbali mpenzi utaabika na wanachit watakushangaa kwa herii!!!!
 
Pole sana ndugu! hata mimi kwa maelezo mafupi ambayo nimeyasoma kutoka kwako inaonekana jamaa kaumia..
Ila ndio maisha yatupasa kusamehe na kusonga mbele pasipo kuangalia mapungufu na madhaifu ya hawa ndugu zetu...
Jamaa yako mshauli awe mvumilivu, asichukue maamuzi ambayo badae anaweza yajutia....

Pamoja sana mkuu Sungura Toto

Manoah nashukuru kwa PM yako lkn kila kitu c kina utaratibu best maaana sheria hazipo kwa kutetea ujinga au siyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom