ka quotes ka usiku wa leo....

ka quotes ka usiku wa leo....

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
An empty stomach is not a good political adviser. Albert Einstein ​
 
njema njema njema mzeiyaaaaa, weekend wapi .mia

mkuu nakutafuta sikupati. jamaa alinielekeza upo chanika lakini sijafanikiwa kukutana. ntumie namba ya simu pm. j2 ntakua huko. ulisema unapenda draft, pooltable au dats? nataka nikija nikufanyizie! hahaaa..!!. mia
 
1.kafa manzese mazishi sinza
2.mpishi mbishi kapika mchicha mbichi.
3.kichwa cha twiga
4.kipi kikusikitishacho?
5.pundamilia ana mistari lakini hajawahi ingia studio kurekodi.
6.KUMBUKA BARABARA INA MATUTA LKN HAWAJAWAHI KUPANDA VIAZI
7.......NAGEUKA MACREGAN NAWAAMBIA ENDELEAAA.
 
mkuu nakutafuta sikupati. jamaa alinielekeza upo chanika lakini sijafanikiwa kukutana. ntumie namba ya simu pm. j2 ntakua huko. ulisema unapenda draft, pooltable au dats? nataka nikija nikufanyizie! hahaaa..!!. mia

ah ah ah! mkuu... mimisa siku hizi kawa jamaaa eeeh? pouwa muambie jumapili mje nae pande hizi atakuleta hadi ki skani yangu... ah ah ! mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom