B Bill Ricky New Member Joined May 18, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Nov 27, 2013 #1 Habari JF Community, Kwa wale waliowahi tumia internet kutumia Ka satellite and TTCL cable tofauti yake katika perfomance.. Maana sasa natumia TTCL na nataka kubadilisha nieende satellite internet kama kuna speed mzuri.
Habari JF Community, Kwa wale waliowahi tumia internet kutumia Ka satellite and TTCL cable tofauti yake katika perfomance.. Maana sasa natumia TTCL na nataka kubadilisha nieende satellite internet kama kuna speed mzuri.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Nov 27, 2013 #2 Hii mpya sana hata mi ndo naiskia leo. Ngoja nisubiri wadau waje kumwaga utirio