K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

mliman city jamaa kaja vzr kama mgeni afu anapiga ngeli tupu anataka nimwelekeze mwanaume nadakia tu yes...ofcourse....no.. lugha ikanifanya nimwamini asee nilikuja kujua nimetapeliwa baadae taratibu nikaanza kujongea kituon kutafuta usafiri
 
Ongezeni na hizi za kudanganywa na mademu kuwatumia nauli halafu hawaji na namba zinabadilishwa.
yaliwahi kukusibu eh me niliwah tapeliwa dar mwaka 2009 mara moja tu sikutapeliwa tena na siwaamini binadamu hata kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…