zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
hongera zakoDuh kweli wajinga ndio waliwao
ni kweli kaka. baadhi humu ndani wanaona aibu kusemaHii kitu ni kawaida sana katika maisha ya sasa. Hata serikali inatapeliwa! (mitambo kukuu ya richmond, mabehewa fake, vivuko fake, barabara fake n.k)
dumelang nami kama hiyo yako pia ilinikuta. mimi nilitaka kununua sandoz. hawa jamaa wana dawa c bureHa ha hA kuna ndugu yangu alitapeliwa, kapewa kijiti cha muhogo mwanzo aliona ni almasi mpk leo tangu 1999 jamaa jina lilibadilika anaitwa Almasi.
Mimi kariakoo nilishapigwa elfu 5 tu. Kama sikosei ilikuwa 2003. Jamaa aliniuzia jinzi kwa bei ya tsh 7000 dah nikatoa fasta, ile nampa akasema bro nimesema 17000/= nikamwambia nipe pesa yangu, akanirudishia fasta kumbe juu kanipa elfu 2 ndan kaifungia karatasi la box, ile elfu 5 kachukua, naenda mbele kufungua nakuta nna elf 2 na box basi, tangu siku iyo sijawai ibiwa wala tapeliwa.
hii nafikiri tuandae thread yake au unaonaje RaimundoOngezeni na hizi za kudanganywa na mademu kuwatumia nauli halafu hawaji na namba zinabadilishwa.
hii nafikiri tuandae thread yake au unaonaje Raimundo
ahaaaa aaaa jamani tupo wengi sana. wanadawaDaah wale watakua na dawa aisee si bure. Mi pia walishanipiga hao. Walilamba 20,000 yangu hivi hivi plus kasim kangu fulan kabovu bovu hivi nikajua hapa nimewabambika. Kufika mbele kufungua sabuni yangu ya kipande safi kabisa nimefungiwa vizuri.....daah sabuni ya 100 nikauziwa 20,000. Belive me toka ijumaa april 20 2012 leo ndo nimekitoa hadharani hiki kitu.....kilibakia kuwa siri siku zote hizo.
Ongezeni na hizi za kudanganywa na mademu kuwatumia nauli halafu hawaji na namba zinabadilishwa.
Haaahaaaaahaaaa. Hii bila shaka inatokeaga sana katika online dating. Ukituma tuu imekula kwako.