JWTZ yawasili Wilaya ya Newala

JWTZ yawasili Wilaya ya Newala

Hebu tuombeni hata friendly match na mozambique
 
kumbe kweli tunaua mende kwa nyundo
 
1542280496186.png

nasikia hili ndo litakuwa linabangua
 
Wakati jeshi la Israel ,Iran urusi north korea marekani wanashika silaha kwenye uwanja wa mapambano

Sisi tunashika silaha kwenda kupambana na makorosho
Inashangaza sana.Kajambo kadogo tu hadi Jeshi.huku ni kulishusha hadhi jeshi letu pendwa.
 
Naona hapo walipoingia kuna watu wanabangua korosho, sijui watawanyang'anya?
 
Sasa silaha za nini wameambiwa kuna vita?
Kivyako; vita vimetangazwa vya kiuchumi silaha kali muhimu ukiwaalika wanajeshi. Kama wangepewa wachumi ungeona silaha za peni karatasi na laptop lkn army silaha kali mbere. Tupambaneni jaman
 
Back
Top Bottom