JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Pongezi nyingi kwao.

Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati.
==============
Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jukumu la ujenzi wa mradi muhimu wa madaraja katika Mkoa wa Mambere-Kadei Nchini humo.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi huo, Katibu Mkuu wa Mkoa wa Equatorial, Zouketchia Emmanuel amelishukuru Jeshi la JWTZ kwa kujitolea kwake na mchango wake mkubwa kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo amenukuliwa akisema “tumepata shida ya usafiri kwa muda mrefu kwa sababu ya madaraja haya, leo tunaona mabadiliko yanayoletwa na MINUSCA kupitia marafiki zetu wa kweli kutoka Tanzania. Asanteni sana JWTZ”

JWTZ inatarajia kujenga madaraja matatu ambayo yaliharibiwa kwa muda mrefu na kutatiza mawasiliano kati ya Vijiji na Miji na kuathiri upatikanaji wa huduma muhimu kama elimu, afya na masoko.

Naye Naibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mkoa wa Mambere-Kadei (ofisi ya MINUSCA, Berberati) Landry Muketchu, amesema kuwa Umoja wa Mataifa umelipatia JWTZ kazi ya mradi unaotoa matokeo ya haraka kwa kuwa limeendelea kuonesha nidhamu, weledi na mshikamano wa hali ya juu katika kazi wanazofanya chini ya MINUSCA.

Naye Kamanda wa Kikosi cha Nane cha Ulinzi wa Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, (TANBAT 08) Luteni Kanali Theophil Nguruwe, ameushukuru Umoja wa Mataifa kupitia MINUSCA kwa kuliamini JWTZ kwa kulipa jukumu hilo muhimu “tunaahidi kutekeleza mradi huu kwa weledi wa hali ya juu kwa kuzingatia viwango vya Umoja wa Mataifa na kuhakikisha unakamilika kwa wakati uliopangwa”

MINUSCA ilianzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mwaka 2014 (kupitia azimio namba 2149) kwa lengo la kusaidia kurejesha utulivu, kulinda Raia, kusaidia mchakato wa kisiasa, kushughulikia ukiukwaji wa haki za Binadamu na kusaidia ujenzi wa Taasisi za Serikali Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Screenshot 2025-07-19 184726.png
 
Ndio maana kwenye maazimisho mnapasua matofari kumbe biashara matangazo
 
Madaraja ya Tanzania kwanini yanajengwa na Wachina na Waturuki?
Kweli Bongo Unoko ni Uzalendo
 
Pigeni KAZI WAKUU msiwe na hofu nawakubali SANA. NASIKIA mlikua mkikanyaga pale congo mnashangiliwa HII ni kutokana na trust mliojiwekea asanteni SANA wanaume🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. KUHUS Fulani tutadili NAE wenyewe limo ndani ya uwezo wetu.
 
Acha kujikomba hao ni wanaume we ni wa kike kwani eti wa ndani nani huyo utadili naye nani anakufahamu kwenye system wewe kichwa maji unajipa umhim tu ambao hauwezi kuupata we na ukoo wako
 
Siongei na shoga Mimi alisikikika mlevi MmOJA akipanda DALADALA za KWENDA yombo vituka. Samahani mkuu
 
Na mimi niliskia donati la bro alex lina futa la kutosha kwa ajili ya kupelekewa mashine vilivyo
 
Tetetehhh mkuu umenichekesha kuhusu yule bro alex namfahamu ILA NGOJA nikunong'oneze ( usipende kumshobokea yule JAMAA ni MTU hatari hakawii kukujaza ujauzito kwa SABABU umedai donati lako Lina futa la kutosha)
 
Pongezi nyingi kwao.

Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati.
==============
Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jukumu la ujenzi wa mradi muhimu wa madaraja katika Mkoa wa Mambere-Kadei Nchini humo.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi huo, Katibu Mkuu wa Mkoa wa Equatorial, Zouketchia Emmanuel amelishukuru Jeshi la JWTZ kwa kujitolea kwake na mchango wake mkubwa kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo amenukuliwa akisema “tumepata shida ya usafiri kwa muda mrefu kwa sababu ya madaraja haya, leo tunaona mabadiliko yanayoletwa na MINUSCA kupitia marafiki zetu wa kweli kutoka Tanzania. Asanteni sana JWTZ”

JWTZ inatarajia kujenga madaraja matatu ambayo yaliharibiwa kwa muda mrefu na kutatiza mawasiliano kati ya Vijiji na Miji na kuathiri upatikanaji wa huduma muhimu kama elimu, afya na masoko.

Naye Naibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mkoa wa Mambere-Kadei (ofisi ya MINUSCA, Berberati) Landry Muketchu, amesema kuwa Umoja wa Mataifa umelipatia JWTZ kazi ya mradi unaotoa matokeo ya haraka kwa kuwa limeendelea kuonesha nidhamu, weledi na mshikamano wa hali ya juu katika kazi wanazofanya chini ya MINUSCA.

Naye Kamanda wa Kikosi cha Nane cha Ulinzi wa Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, (TANBAT 08) Luteni Kanali Theophil Nguruwe, ameushukuru Umoja wa Mataifa kupitia MINUSCA kwa kuliamini JWTZ kwa kulipa jukumu hilo muhimu “tunaahidi kutekeleza mradi huu kwa weledi wa hali ya juu kwa kuzingatia viwango vya Umoja wa Mataifa na kuhakikisha unakamilika kwa wakati uliopangwa”

MINUSCA ilianzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mwaka 2014 (kupitia azimio namba 2149) kwa lengo la kusaidia kurejesha utulivu, kulinda Raia, kusaidia mchakato wa kisiasa, kushughulikia ukiukwaji wa haki za Binadamu na kusaidia ujenzi wa Taasisi za Serikali Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Nadhani ndio masharti aliyowapatia Paul Kagame kipindi walipokuwa wakikaguliwa walipokuwa wakitokea Goma kwamba wao waendelee na ujenzi wa madaraja kwani ndicho wanachoweza.
 
Tetetehhh mkuu umenichekesha kuhusu yule bro alex namfahamu ILA NGOJA nikunong'oneze ( usipende kumshobokea yule JAMAA ni MTU hatari hakawii kukujaza ujauzito kwa SABABU umedai donati lako Lina futa la kutosha)
Lindadonat lakokwa wivu mkubwa
 
Lindadonat lakokwa wivu mkubwa
Bwana jela KASEMA Donati nenda hotelini WEWE. Ye anamanisha UKO unako jisaidia haja KUBWA nyampala anapataka anadai ETI huwa hushugulikiwi VIZURI NDO MANA hutulii kushobokea wanaume SASA yeye anataka akuoneshe maana ya ubaya ubwela. Alafu huna hazi ya kupakwa futa WEWE low quality we unapakwa oil chafu dadeki. SIO Mimi mkuu mi mjumbe tu
 
SAWA mkuu yaishe mkuu umeshinda. ILA fata USHAURI kuhusu lile JAMAA ni li MTU hatari.
 
Back
Top Bottom