JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha

JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha

29th April 2014

Kundi la wanajeshi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanadaiwa wamevamia kituo cha Polisi wa Kutuliza Ghasia (FFU) kilichopo Kwa Mrombo na wanadaiwa kutembeza mkong’oto kwa askari kadhaa.

Baadhi ya wanajeshi wanadaiwa kukamatwa, ingawa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alipotakiwa na NIPASHE kuzungumzia tukio hilo alikanusha.

“Hakuna tukio kama hilo, wewe uliona wapi watu wa serikali wanapigana,” alihoji Kamanda Sabas na kuongeza: “Sisi tulikuwa kwenye vikao vyetu vya kawaida.

Hata hivyo, msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Eric Komba, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana jioni.

Hata hivyo, alisema polisi na JWTZ wanafanya uchunguzi wa tukio hilo na taarifa zikishawasilishwa makao makuu watatoa taarifa.

Lakini baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo walisema tukio hilo lilitokea majira ya saa tano au sita asubuhi jana, baada ya wanajeshi kuvamia kituo hicho kwa nyakati tofauti.

Inadaiwa wanajeshi hao walikuwa kati ya 50 hadi 60 hivi na haikufahamika mara moja walikuwa wametokea kambi gani ingawa baadhi ya watu walidai walitokea Monduli.

Shuhuda mwingine alisema aliwaona wanajeshi wanne wakiingia kwenye lango kuu la kuingilia kituo hapo na kutembeza kichapo kwa askari aliyekuwapo.

Hata hivyo, habari zingine zinasema hakuna polisi aliyepigwa na hakuna mwanajeshi aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Baadhi ya wakazi jirani na eneo hilo walisema waliwaona kundi la wanajeshi wakiwa katika eneo hilo na wengine wakikimbilia kwenye mashamba.
Wacha wapigane ili kuulinda muungano!
 
reporter acha uongo habari iko ivi askari wa jwtz wakiwa watano walipanda daladala kutoka mjini KWA mrombo.askari wa jwtz walikuwa wamevaa kiraia dona wa daladala kudai kwa watu watano akapewa tsh.500 Badala ya 2000. mzozo ukawa mkubwa sana kumbe kulikuwa na askari wa FFU kwenye hiyo daladala huyu askari wa FFU akamwamuru dereva apeleke GARI kambini FFU KWA mrombo baada ya kufika wale askari WA jwtz wakalipishwa nauli.nakuachiwa kesho yake ambayo ni Jana wale askari watano jwtz walirudi kwalengo la kuvamia mwisho wa siku askari wawili wa jwtz walikamatwa na watatu mpaka sasa hawajulikani walipo kambini kwao orijolo hawajaonekana.hii ndio habari acha kupotosha umma
:

Yes, I can buy this :A S 41: .Ndio maana hata mwandishi mwishoni anasema wanakijiji waliona wanajeshi wakikimbilia kwenye mashamba.....sasa walikimbia nini?
 
Hiiii habari haiwezi kuwa Kweli unaposema wanajeshi 50 kuvamia kambi ya FFU si kitu cha kawaida ingekuwa big news leo .

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Mkuu mimi pia nimeisoma kwenye gazeti la Nipashe la leo hebu ingia kwenye ippmedia.com.Kuna kaukweli fulani hata mleta uzi amekopi neno kwa neno kutoka Ipp media.
 
Yale yale usichopenda kutendewa ,usimtendee mwenzako,maana siku ya kutendwa huijui.Poleni FFU mjifunze kutokana na makosa yenu.Inawezekama walijua ni raia wa kawaida kumbe matatizo.

Mkuu habr hyo sio sahihi, kilichotokea ni wanajesh watatu ktk kiford/daladala ktoa sh.500 km naul,konda kudai pesa zaidi wakamchapa makofi,kumbe ndan kulikuw na polisi mmoja akawazuia hawakumckia,akawapgia polic ffu oljoro wakaikamata ile gari na kuwaamuru wale jkt walipe naul coz walikuw kiraia,walilipa wakaondoka, bada ya masaa 2 wakarud na kikosi cha askari wasiozid 25 na kuvamia ofic za ffu, walpovamia pale ofcn kulikuw na askari ffu wasiozid wa 5,fortunate ikatokea pira la ffu wakitokea town,waliwachapa wale jwtz mbaya, wakakambia kwny mahindi na watatu walikamatwa na kupewa adhabu mbalmbal,bt later viongoz wa pande zot wakaktana na wale jw wakaachiwa! so hao jw ndo walipgwa na ni wa JKT OLJORO sio jw monduli.
 
Hiyo habar imepotoshwa, ile kambi haikusambaratishwa isipokuwa wanajesh waliovamia walikimbizwa na kuchapwa mithil ya mbwa mwizi, jw walivokuwa wakikmbia kwny mahindi hatukuamini, ndo nkabak nashangaa zile mbwembwe kwny muungano zilikuwa ni kanyaboya ama ni yaleyale ya ktengeneza tamthilia?
 
A cha wachapwe maana wakitumwa na nape name mwiguru wanavumba vichwa
 
USHAURI WA BURE KWA JWTZ,kuna askari pale kambi ya Jkt Oljoro wamemaliza mafunzo wiki iliyopita hawa ni vijana wadogo ni wajinga ni wasumbufu watawanywe ktk maeneo mengine wakajifunze maisha-UTOTO UNAWASUMBUA
 
Kweli hao ni watoto....askari 25 tu tena wa kawaida mnaenda kuvamia kikosi cha FFU??.....Yaani askari wa FFU wanatambua sasa wamevamiwa......alafu mtoke salama.....
 
Wanaonyesha kuwa sio kuvunja matofari tu, bali hata vinjwa vya polisi wanaweza kuvunja
 
Kaka usije kukutana na mziki wa FFU na KM wa Magereza hawa walimpa kichapo mjeshi wakaenda kumtupa pale kwenye lango la kambi yao Posta ya Uwanja wa Ndege...

Alafu watu wenyewe kumbe ni JKT?!

walimchangia ama?
 
Wananchi tujiandae kujihami, maana baada ya kichapo kutoka kwa wajeda hao, watakuja kumalizia hasira kwetu raia. Mtaona ama kusikia muda si mrefu.
Ha ha ha ha umenichekesha sana mkuu ila mm naona wapigwe tu hao FFU maana hawana akili

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu habr hyo sio sahihi, kilichotokea ni wanajesh watatu ktk kiford/daladala ktoa sh.500 km naul,konda kudai pesa zaidi wakamchapa makofi,kumbe ndan kulikuw na polisi mmoja akawazuia hawakumckia,akawapgia polic ffu oljoro wakaikamata ile gari na kuwaamuru wale jkt walipe naul coz walikuw kiraia,walilipa wakaondoka, bada ya masaa 2 wakarud na kikosi cha askari wasiozid 25 na kuvamia ofic za ffu, walpovamia pale ofcn kulikuw na askari ffu wasiozid wa 5,fortunate ikatokea pira la ffu wakitokea town,waliwachapa wale jwtz mbaya, wakakambia kwny mahindi na watatu walikamatwa na kupewa adhabu mbalmbal,bt later viongoz wa pande zot wakaktana na wale jw wakaachiwa! so hao jw ndo walipgwa na ni wa JKT OLJORO sio jw monduli.

Hao dugu moja wanajuana ndugu yangu.
 
Hiyo habar imepotoshwa, ile kambi haikusambaratishwa isipokuwa wanajesh waliovamia walikimbizwa na kuchapwa mithil ya mbwa mwizi, jw walivokuwa wakikmbia kwny mahindi hatukuamini, ndo nkabak nashangaa zile mbwembwe kwny muungano zilikuwa ni kanyaboya ama ni yaleyale ya ktengeneza tamthilia?
Bila shawa ww ni FFU maana imekuuma kweli ila na mpigwe tu maana hamtumiagi akili
 
Huyo askari aliyekuwa zamu hapo getini alishindwa kuwachapa Risasi hao Wanajeshi?!

Angemtoa mfaano mmoja wao...alafu inawezekana ni mayanki tu walizinguana sasa dizain kuonyeshana ubabe ndo wakawatimbia wenzao kikosini

Field Force ipo Dar na Mara tu huko kwingine hakuna kitu...ndo maana kikinuka huko wanachukuliwa huku kupelekwa huko...

Hii ya kua getini bila silaha ndiyo nilikua najiuliza. Nadhani kunaulakini fulani katika habari. Kwa uzoefu wangu askari anayekua getini anakua na silaha na huwa awi mmoja wanakua wawili au zaidi na wote wakiwa na bunduki za kivita.

Nadhani huyu aliepigwa alikua hana bunduki,kwa sababu kanuni za kutumia bunduki ziko wazi na kila askari atakayekabidhiwa bunduki anazijua. Isitoshe adui wamevamiwa kambini.

Vikosi vyetu lazima vitambue hii ni aibu kwa taifa.

Waliohusika wachukuliwe hatua kali,ikiwemo ya kupelekwa mahakamani ushahidi ukipatikana
 
Habari mbona inapingana yenyewe ukweli uko wapi sasa.
 
Aaah,sasa si alitaka kuleta vita mjini brother!,lakini lazima watakuwa walimchangia.

Sio kwamba siwapendi JW ila I hate violence.

haha,hakuwakusanya wenzake kulipa kisasi?
 
Back
Top Bottom