JWTZ watajifanya hawajamuona kisa kasimama kwenye Jukwaa la CCM

JWTZ watajifanya hawajamuona kisa kasimama kwenye Jukwaa la CCM

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano sawa na majeshi ya nchini na kuna kipindi fulani tulisumbuliwa sana, nikiwepo mimi chupuchupu kuvuliwa mbele za watu.

Natarajia jeshi hilo kutoa tamko la kukemea kitendo alichokifanya Magambo.

Sisi tumeona.

Pia soma
-
 
Huwa kuna taratibu, unawza kuandka barua kuomba kibali kwa ajili ya shughuli maalumu..
 
Au pengine ni mwanajeshi!
Hata hivyo si sare zetu hizo
 
Mi mwenyewe nimeshangaa na kujiuliza huyu msanii ni mwanajeshi? Maana kavalia sare za kijeshi na kale kamfuko mguuni ni cha kijeshi. Wapuuzi msituambie hayo mabaka si ya jeshi letu wakati mlisema mabaka yote ni standard ya sare za jeshi hata kama ni jeshi la nje na mkapiga marufuku raia kuvaa nguo zinazofanana na sare za majeshi
 
Maigizo ni mengi kwenye hili Taifa la hovyo, angekuwa kule upande wa pili tayari wengekua wameshamdaka juu kwa juu pambafu zao.
 
Huto sikia jambo Kama hilo, labda kama wewe ni mgeni wa mambo kwenye hii nchi.
 
Back
Top Bottom