Yani naona hawa makamanda wamechelewa tena kama serikali itakaidi naomba huyo BRIGEDIA JEN ajitangaze kuwa rais mara moja ana sapoti yetu wananchi na ya MUNGU.
Yale yale ya Mbunge kufumaniwa Singida JF-Kata wanafuata mkumbo kama kawaida yao...hivi hunajua amri akitoa Amiri Jeshi kuna mtu wa kupinga?
kushabikia mgomo wa madaktari ni ulimbukeni na uuwaji