Basi hapa kwetu ndo wamefanya njia za ndege za kijeshi kwa ajili ya siku ya muungano , kero tupu
takataka
takataka
takataka
Basi hapa kwetu ndo wamefanya njia za ndege za kijeshi kwa ajili ya siku ya muungano , kero tupu
hahaha naona ile dhihaka ya kuvunja motofali kwa kichwa tunayo endelea kuwafanyia hapa jf inawaingia barabara.angalau kidogo awamu hii watatushawishi.kudos JWTZ.
BTW hivi hao nao ni military commandos?
Hiyo mbona ni michezo ya kawaida kwa watu ambao sio hata askari huku ughaibuni?
Ilipendeza sana japo yalikuwa maandalizi.Jana hiyo kwenye maandalizi ya sherehe za muungano zitakazofanyika kesho.... hao ni wapambanaji wetu jana walikuwa wanaruka kutoka umbali wa feet 4000 wakitokea kwenye ndege ya jeshi. wana uwezo wa kuruka umbali kuzidi huo kufuatana na hali ya hewa.
Nimewashuhudia kwa macho yangu wakitokea kwenye mawingu.
Wengine walikuwa wanachora neno Tanzania 50 angani.
takataka
Bwimbwisa kabisa