JWTZ rangi hii ya sare kama ya kisiasa

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Ni hiyo ya kijani na ambayo inafanana na sare za Chama Cha Mapinduzi.
 
Attachments

  • IMG_20150115_212520_0.jpg
    IMG_20150115_212520_0.jpg
    176.3 KB · Views: 2,103
asa unashangaa nn kwani chama kilicho madarakani wanavaaje
Mkuu, angalia vizuri hiyo picha. Makamu mwenyekiti wa CCM na mwambata wake (JWTZ) rangi ya mavazi inafanana na tunaambiwa jeshi halina chama cha siasa.
 
Mkuu, angalia vizuri hiyo picha. Makamu mwenyekiti wa CCM na mwambata wake (JWTZ) rangi ya mavazi inafanana na tunaambiwa jeshi halina chama cha siasa.

Hapa ndipo uthibitisho wa CCM kujipenyeza kwa maafisa wa jeshi nakulitumia kwa manufaa yake binafsi unajidhihilisha wazi.

Mfanao:- Abduhaman Shimbo kada maarufu bila kumsahau yule polisi mwenye tumbo kubwa kilasiku kuzushia

vyama vya siasa uwongo nakuzuia maandamano
 
Mkuu, angalia vizuri hiyo picha. Makamu mwenyekiti wa CCM na mwambata wake (JWTZ) rangi ya mavazi inafanana na tunaambiwa jeshi halina chama cha siasa.

Majeshi yasingekuwa na chama amiri jeshi mkuu asingetokana na chama flani kushinda.
 
Majeshi yasingekuwa na chama amiri jeshi mkuu asingetokana na chama flani kushinda.
Mkuu, nielewavo mie Amiri jeshi mkuu ni Rais wa nchi haijalishi ni toka chama gani. Tatizo ni hiyo rangi ya sare kwa jeshi letu kama inauhusiano wa kisiasa na CCM.
 
Sasa na zile baleti nyekundu na og nyekundu nazo ukawa wakiwa madarakani mtasema sare za chama??na ffu nao mtasema ni ukawa cyo?
 
Kijani ni rangi ya majani. Kwa JWTZ/jeshi kwa ujumla sare zao zinaendana na mazingira.
 
Sasa na zile baleti nyekundu na og nyekundu nazo ukawa wakiwa madarakani mtasema sare za chama??na ffu nao mtasema ni ukawa cyo?

Watu wanaanzisha uzi kwa kukurupuka,mambo mengine hata usiposoma yanaeleweka,wamezoea marumbano yasiyo na msingi.Halafu unaambiwa huyo ni baba/mama wa familia.:banghead:
 
Mkuu, nielewavo mie Amiri jeshi mkuu ni Rais wa nchi haijalishi ni toka chama gani. Tatizo ni hiyo rangi ya sare kwa jeshi letu kama inauhusiano wa kisiasa na CCM.

Hakika ni hivyo.

Hoja ya sale kufanana na magamba haina maana,jwtz wana sare zaidi ya 5 imetokea kama ajari tu wakafanana rangi na hiyo moja,kama ilivyo Yanga na magamba dam dam.

Nazungumzia hoja ya amiri jeshi mkuu kuwa raisi aliyeshinda kutoka chama fulani,yeye ni mwanachama fulani,tena akawa mwenyekiti wa chama fulani.
Huyu ni mtoa amri wa majeshi yote.

Kivipi jeshi halina chama!!!ajabu!!

Kimsingi hii ni nadharia,ila sio uhalisia.
 
Back
Top Bottom