Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 900
- 803
Inashangaza sana..
Hakika..!Track record ya ccm huwa wanakutumia kufanikisha jambo lao baada ya hapo hawataki mazoea
Wana haribu reputation yako halaf hawakusaidii
Jwtz ilikua moja ya taasis ambazo hazikuwa compromised , until oct 29
How wata restore imani yao kwenye jamii that will be so hard
Mbona lilimpigia kampeni amiri jeshi? Au wao wali stick kwa amiri jeshi tu na siyo kiongozi wa wengine? Hivi ile helicopter ya jeshi ilikuwa inaendeshwa na pilot raia,? Na alipewa tu maelekezo na afisa mtendaji wa kijiji? Think twice.Usitegemee jeshi lijiingize kwenye mambo ya uchaguzi, jeshi kazi yake ni ulinzi.
Kwani wana shida ya kurestore hiyo heshima?Usitegemee jeshi lijiingize kwenye mambo ya uchaguzi, jeshi kazi yake ni ulinzi.
PIA lilisema litawalinda waandamanaji 29/10 kwa mujibu wa wanaharakati wa JF na Mange
😁😁😁kamsikilize Mange , alielezea vzr kbs , jeshi letu lina unit nying sn
Usitegemee jeshi lijiingize kwenye mambo ya uchaguzi, jeshi kazi yake ni ulinzi.
nonsenseJeshi liliambiwa lilijiandae na uchaguzi leo linaambiwa lisijihusishe na siasa ndege za jeshi zilitumika hadi kwenye kampeni ya uchaguzi batili.
Anaongea tu ili mradi ameongea na sio anatumia akili ipasavyo kweli kuna msala mkubwa sana Tanzania hakuna rais.

Mwajuma nchokonoe wa Mwananyamala na Mwajabu toto kunyakunya wa Kwa Mtogole ukiwaweka hapo na Samia Minyonyo wa Mchamba wima hiyo timu Samia ndiyo ataonekana hajitambui.Jeshi liliambiwa lilijiandae na uchaguzi leo linaambiwa lisijihusishe na siasa ndege za jeshi zilitumika hadi kwenye kampeni ya uchaguzi batili.
Anaongea tu ili mradi ameongea na sio anatumia akili ipasavyo kweli kuna msala mkubwa sana Tanzania hakuna rais.
Mimi nitaonyesha kwa adui walipojificha...Hii nchi isipate vita hakuna mtanzania atawachangia damu