JWTZ nako kunahitajika reforms

JWTZ nako kunahitajika reforms

Unaona nini hapa...?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa

Jeshi lina kamandi 5 na jeshi la kujenga taifa.
 
There you go!
 
Actually, it may be more complicated than you think

Mkuu 'Pule', mimi nitakurejesha kwenye mada iliyowahi kutembea kiasi humu humu kwenye Jukwa hili hili la Siasa; mada iliyo anzishwa na mkuu 'Kavulata' kuhusu majenerali na ma-Rear Admiral wa jeshi letu.

Mkuu 'Kavulata' alikuwa na lengo maalum la kuileta hiyo mada; ingawaje wachangiaji kama kawaida yetu hatu'pay attention' kwa mambo kama hayo.

Ukitaka, itafute mada yake hiyo. Tafuta tu chini ya jina lake 'Kavulata", utaipata.

Sasa sijui kama baada ya lengo lake la kufikisha ujumbe akaona asubiri matokeo yake, sijui, maana siku hizi haonekani tena humu JF.

Hali ya mvuruganyo wetu tunaweza kuichukulia kivyepesi kwa kutokwa makini tu kujuwa ni nini kilicho nyuma yake.
Umenikumbusha huyu member kavulata simuoni sijui yupo
 
Kwa kweli GenZ wamesaidia kurudisha heshima ya Wananchi. Muliro kaiingia mitini. Kwa kweli Ukimsikiliza Chalamila kwenye ile hotuba yake anaonekana kuwa na adabu sana. I cant' imagine kama wataendelea na zile dhihaka walizokuwa wanazitoa kwa wananchi bila kujali kuwa kuna kesho.
Nakubaliana na wewe kuhusu Gen Z; lakini hilo la akina Mulilo, hapana.

Sasa hivi watakuwa wanajipongeza kwa kazi waliyofanya, na kutegemea kuwa matokeo yake yatakuwa ni fundisho kubwa la kuzuia hali ya namna hiyo isitokee tena. Na watahakikisha kila mara wanakumbushia.

Hili ndilo tegemeo lao kubwa la kuendelea kuwa na hali ya uoga miongoni mwa wananchi,... AMANI itatamalaki kila mahali Tanzania kwa miaka mitano ijayo!
 
Umenikumbusha huyu member kavulata simuoni sijui yupo
Siyo yeye tu, akina Tlatlaah' unawaona tena?
Kuna kundi kubwa sana la watu hao waliingia humu JF kwa lengo maalum; na ninakisia kuwa mambo yatakapoanza kutulia kidogo tena chini ya ngwe hii mpya baada ya kuapishwa; utawaona tena kwa wingi kuja kujipongeza kwa kazi kubwa iliyo fanyika.

Hatupo salama tena kama tulivyokuwa tukifikiri. huko siku za nyuma.
 
Unaona nini hapa...?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa

Jeshi lina kamandi 5 na jeshi la kujenga taifa.
Hii mipango yao Kikwete, Samia, Rostam ya kuweka watu wao sehemu zote nyeti na muhimu kama jeshini, wizarani, kurugenzi, usalama wa Taifa, Polisi, TRA, TCRA, TPA, TCAA, inaonekana ilipangwa hata kabla JPM hajafariki au siku ya kwanza baada ya Samia kushika madaraka ukiangalia teuzi zote Samia alizofanya.

Kama Kikwete alivyopanga na kumpendekeza Samia awe makamu ili awe anampa taarifa na maamuzi na nini kinaendelea ikulu awamu ya tano ndivyo alivyopanga kuwa na watu wake sehemu zote muhimu awamu ya sita na sasa hivi.
 
Kwanini wanalaumiwa sana JWTZ na sio Usalama wa taifa?. Manake usalama wa taifa wao ndio wanatakiwa kusimamia usalama wa nchi. Polisi kazi yao kulinda wananchi na jeshi kazi yao ni kulinda mipaka ya nchi.

Usalama wanatufanya kuwatupia lawama jeshi letu wakati wao ndio wakulaumiwa. Mfano CDF ana usalama wa taifa wawili hawa wapo kwa kufatilia nyendo zake tu kujua mipango yake yote.
Mh 🤔
 
JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa.

Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita.

Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa jeshi la JWTZ itapungua kama sio kutoweka na ni kwasababu ya viongozi wa binafsi, tamaa na wasio wazalendo.

JWTZ linaonekana kuwa ni pambo kwenye mavazi, na sherehe za kitaifa, ila kulinda taifa na raia mumeshindwa, uongozi wote wa JWTZ unatakiwa kujiuzulu, hakika mumedhalilishwa, na badala ya kuchukua hatua kwa hao viongozi mumebaki toa visingizio na kushirikiana na vyombo vingine kuficha ushahidi ya maiti na hao mamluki.

JWTZ INAHITAJI REFORMS
Nenda kaifanye hiyo reforms mzee kama mlivyofanya hiyo nyingine
 
Kwa kweli GenZ wamesaidia kurudisha heshima ya Wananchi. Muliro kaiingia mitini. Kwa kweli Ukimsikiliza Chalamila kwenye ile hotuba yake anaonekana kuwa na adabu sana. I cant' imagine kama wataendelea na zile dhihaka walizokuwa wanazitoa kwa wananchi bila kujali kuwa kuna kesho.
Axheni kujifariji hakuna mlichonadirisha hadi sasa mlisema patachimbika na hataapishwa imekuwaje mbona ameapishwa?
 
Jeshini kuna shida sana wakuu, ukiacha muundo kuna dilution kubwa sana ya training, askari na maafisa wa kisasa viwango vyao duni sana kwa ajili ya kuinufaisha sisiemu na kutokana na mashaka ya Nyerere kupinduliwa. Ni maafisa wachache sana wanataka wafikie viwango na ni wale tu wenye mauhusiano na watawala na wanawapeleka training UK Sandhurst. Hawa wa Monduli ni mitulinga tu na akili kidogo ili wawatumikie! Ni sahihi kabisa baada ya hili zengwe jesho litazamwe kwa jicho la mwewe!
Mashaka ya nyerere yanai licost jeshi letu hadi leo, hofu ya kufanya mabadiliko bado inatanda sababu ya mtu ambae aliipamda kwa sababu zake binafsi
 
Kwa kilichotokea, Tanzania ndio basi tena hakuna mahala pana afadhali. Inasikitisha ila tumeanguka pakubwa sana, Mungu atusaidie
 
Unaona nini hapa...?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa

Jeshi lina kamandi 5 na jeshi la kujenga taifa.
CC Lwiva
Unasemaje kuhusu hiyo list....
Usipige makelele ukianza kulia, lia kimya kimya.....
 
Siyo yeye tu, akina Tlatlaah' unawaona tena?
Kuna kundi kubwa sana la watu hao waliingia humu JF kwa lengo maalum; na ninakisia kuwa mambo yatakapoanza kutulia kidogo tena chini ya ngwe hii mpya baada ya kuapishwa; utawaona tena kwa wingi kuja kujipongeza kwa kazi kubwa iliyo fanyika.

Hatupo salama tena kama tulivyokuwa tukifikiri. huko siku za nyuma.
Kilichofanyika si cha kujipongeza..mwena wazimu ndio anaweza jipongeza bila kujua kwamba hakuna udhalimu unapita bila malipo yake..!
 
Uko sahihi kila sehemu kuna hitajika reforms, ila sikuwa najua kwenye Jeshi kumeoza nako, ila kwa wananchi reforms zimeanza ile siku ya 29 OCT, trust me kuna mabadiliko yatatokea, kuna heshima kidogo itaanza kuonekana, tulifika pabaya, mtu anatekwa alafu anatoka chawa anasifia utekaji. Biashara zao zilipoanza kupigwa moto, wakaanza futa post, wameona hasira za wananchi…upuuzi kwenye maisha ya watu utapungua, angalia mkuu wa mkoa Chalamila wakati anaelezea hali ya usalama Dar, amepoa kisenge, yaani unamuona kabisa anatafuta maneno ya busara ambayo yasije waongeza hasira raia, yaani vitisho vitisho vyote hakuna.

Tanzania will never be the same baada ya damu za watu zilivyomwaga. Na wakiwasha internet wajiandae kupambana na mashirika ya kimataifa.
Lakini na Kiongozi wa juu awe wa kwanza kuonyesha uongozi bora, na hawa wenye akili za kichalamila , bashite waache hizo akili za kitoto hazi wasaidi kitu.
 
Back
Top Bottom