yaani hapa ndo palikuwa pa kutokea.......pale uwanja wa uhuru si kuna watu pale.....ilitakiwa wote twende pale na hatutoki mpka jk ameomdoka madarakani.....vinginevyo hawa jamaa watatusumbua sana na sias za kishenzi na maneno ya jk ( machungu yenu ni machungu yangu)
Nimefatilia mchakato unaoendelea TBC1 nimegundua: hawa Makamanda ujibuji wao wa maswali yanayoulizwa ni wa kibabe mno: Sizani kama kinachoulizwa ndicho kinajibiwa, kwakweli ushirikiano ni mdogo kwa waandishi wa habari.
Twende mbele turudi nyuma... ufisadi becasue of poor procurement and supply chain management ndio chanzo cha maafa yaliyotokea
tutazunguka weeeeeeeeeeeee, lakini wapi!!!