kmdh
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 503
- 120
JWTZ ni jeshi lenye nidhamu na linajua wajibu wake, sheria na wapi pa kuelekeza nguvu na kiasi cha kufanya hivyo pindi itapohitajika!!!!!
Kuhusisha shughuli za kijeshi za kawaida na jambo hili unaloongelea sio tu ni kulikosea heshima ila pia ni dalili ya mawazo hasi juu ya Jeshi!!!
Labda kama unachokiwaza sio unachoandika!!!
Usijidanganye mkuu. Kama polisi na FFU wakishindwa kuzima ghasia za siasa, jeshi litaitwa. Sisi hatuko nchi zilizokamaa kidemokrasia ambazo unaweza kusema watawala wetu hawatavuka mipaka ya kutumia jeshi kuzima ghasia.