JWTZ mmeona ya Polepole? Mmeona Wananchi wanavyotekwa na Kuuawa? Mmeona Ufisadi wa Viongozi?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?

Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?

Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?

Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!

Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenye mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
 
Jeshi la Wananchi mmeona yqnayoendelea nchini?

Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?

Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?

Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!

Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenyw mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
Bado kuna hawa
IMG-20251009-WA0064.jpg
 
Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?

Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?

Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?

Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!

Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenye mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenyw mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie
 
JWTZ tunawabebesha mzigo tu bure kwa uwoga wetu...

Wao wenyewe wanatuskilizia sisi tulianzisha halafu tukishavurugana kama siku mbili hivi, wao ndio wataingia kati.... watatupiga curfew moja ya maana wakati huo bi kizimkaz ameshakimbizwa na mapolisi wake kuelekea huko visiwani kwao.

Mpaka hapo shughuli inakuwa imeisha, mpaka hapo sa100 anakuwa tayari ni our ex-president.
 
Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini?

Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude?

Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa mshika hela za Samia Angela Kizigha?

Kwa yanayoendelea kazi kwenu!!

Ni ama msimame na Watanzania mlikomboe hili Taifa kutoka kwenye mikono ya Mafisadi na Wauaji au na nyie muwe makondoo na hii nchi iangamie.
JWTZ ilishawaonya nyinyi nyumbu au ukusikia?
 
JWTZ watakutoa roho dogo
 
Subiri tarehe 29 uandamane na kapteni tesha
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Wanapewa posho na serikali, hawawazi kingine wameridhika na maisha wale. Kiufupi hatuna wanajeshi ambao wana uchungu na nchi yao, wamevaa tuu sare lakini uzalendo wa dhati hakuna !

Maana nashangaa pamoja na haya mambo yote haya hovyo yanayofanywa na wahuni, jamaa wamekaa kimya na hawachukui hatua yoyote, yani tunacheleweshwa kufanya maendeleo na mambo mengi sana sisi watanzania. Watu wanaiba hela, wanaonwa wananchi tunawanyamanzia, jeshi linawanyamanzia MAMAMAMAAAAAEEEEH ZETU sisi
 
Yana mwisho. Na mwisho ni tarehe 29 Oktoba
 
Back
Top Bottom