Mh kwan hawa jamaa hawana mipaka ya kaz au kisa wanamilkiwa na chama tawala..alaf Jwtz likii ngia nishda kwasabab hawa jamaa wanatumia akili kidogo na nguvu nyng.
..
​kuna mpango mahsusi hapa umeshawekwa
Mwanza kuna kambi kubwa za JWTZ...Ilemela na Nyegezi-Nyamagana...CDM tutachukua majimbo yote with the presence of Magesa RC and JWTZ..tena mapema kuliko 2010
Katiba haiwaruhusu hao jamaa kufanya hiyo kazi. 2010 waliwatumia eti kwenye logistics i.e. kubeba maboksi yenye kura ndani yake, mfano, Jimbo la Ubungo - labda watatenda haki maanake Ubungo wapinzani walishinda lakini baada ya wananchi kibao kuamua kufa na bwana Kiravu pamoja na jeshi kuonekana eneo lile!!
Bila shaka wewe ni Chagonja. Sasa mchochezi ni mleta muda au aliyeripoti Radio Free.??Mleta mada ni mchochezi
Huo ubabe kama ulishindwa katika nchi kama misri Libya na kwingineko, wasiujaribu hapa kwetu watu tumeshakata tamaa ya kuishi hakuna tutakalopoteza kufa kwa kutetea haki.Matokeo ya uchaguzi yatatangazwa kwa ridhaa ya jeshi na atakayetangazwa jeshi litahahakikisha anatawazwa na kuzima chokochoko zote za wale watakaokataa matokeo.
Kwa mujibu wa Radio free afrika,inayorusha matangazo yake kutoka mjini mwanza.kipindi cha matukio..asubuhi hii 01/02/2015.
Kikosi cha jeshi la wananchi kambi ya kiabakari wilayani butiama.wakishirikianana na jeshi la polisi na magereza,wilyani humo.wanafanya mazoezi ya pamoja ikiwa na lengo la kujiandaa na uvunjifu wa amani unaoweza kujitokeza wakati wa uchaguzi mkuu hapo baadae mwakani.
Sasa hapo nimetafakari bila majibu,je serikali inamaanisha nini kwa kutumia jeshi kwa mambo ya usalama wa ndani ambalo si jukumu lao.bali polisi?
Je tunajiandaa kutangaziwa hali ya hatari nchini kabla ya uchaguzi?
Je mbona huko nyuma hatukuyaona haya katika chaguzi zilizopita?
Je ni dalili z serikali ya ccm kusoma alama za nyakati na kuingiwa na hofu kwa kugundua imekalia kuti kavu na hivyo kuanza kututisha raia?
Mkuu ondoa wasiwasi. Wanajeshi waliokazini hawana lolote la maana wako makamanda wa nyerere na mwinyi waliostaafu na mwisho wale wa mboma. Hawa watatulinda raia wenzao na vita wanaijua vilivyo kuliko hawa watoto wa wakubwa wa jeshi legelege waliopunguziwa ugumu wa mafunzo kwa kigezo cha kuunda jeshi dogo lenye nguvu. Uhalisia ni jeshi kubwa dhaifu linalopigwa kila nchi waendayo huku wakificha ukweli. Congo msaada mkubwa ni Wa Africa Kusini na si vinginevyo. So mkuu tulia jeshi kakamavu liko mtaani. Nenda kitunda, bunju, morogoro utawakuta makamanda wastaafu wenye uwezo kivita na ndiyo watakaotusaidia kupambana na hawa legelege wakaa uraiani. Hata mkuu wao anakaa uraiani..!!! Sasa ndo nini kamanda kuacha wafuasi na kukaa kwetu sisi...!!!??? Kuwa na amani mkuu..!!!