JWTZ kule hakuna maneno ni muda wa vitendo. Get ready

JWTZ kule hakuna maneno ni muda wa vitendo. Get ready

Msitake watu wafe njaa kizembe kisa machafuko ya kisiasa. Kesho ni uchaguzi na wananchi watajitokeza kwa wingi kuchagua viongozi waliovutiwa na sera zao. Watapiga kura kwa amani na kurudi nyumbani kusikilizia matokeo ya mshindi wa kura
 
Nilukuwaga nakuheshimu sana
 
Hao wamegeuzwa chawa, wanachoweza ni kupiga wananchi kwa sababu ya pombe na wanawake, niligundua hawana akili niliwaona wakimvua jamaa tshirt ya kijeshi na kumpiga nusu wamvunje miguu
 
African souls are corrupt in nature. Hatuna chembechembe ya upenda haki, hakuna kitakachotokea, dola na vyombo vya ulinzi ndivyo vinaiweka ccm madarakani, na roho zao zimeshakua nyeusi, they dont know any better...
 
Back
Top Bottom