Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Wamechukia Lema kuvuliwa ubunge
utadundwa! HayaKung'olrwa kwa daraja hili kunaleta foleni sana kwa watu wanaotomia njia ya clock tower to impala,. Tafadhali wajeda rudisheni daraja hili
Je hao JWTZ si sehamu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?, je kama leo wang'oa daraja, kesho watafanya nini? Napata maswali mengi kuliko majibu.... MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Mnashindwa kueleza vizuri daraja hilo ni lipi! Mi najua kuna daraja kati ya kota za polisi ukitokea fire, na nyumba ya meneja wa Tanesco wa Mkoa. Naamini mnaongelea hilo. kama n divyo, basi ni jambo lenye athari kubwa sana kwa wanaArusha. Njia hiyo imekuwa ikitumika sana kukwepa jam ya eneo kati ya kona ya Esso na Impala had Njiro. Pole sana Preta , maana LIVE umeathirika.
Serikali ni Janga kwa mlalahoi, Jeshi pia ni janga kwa Mlalahoi, sijui mlalahoi kama atatoka mzima hapa. Hili ndio Janga JWTZ linaongozwa kienyejienyeji kama kapuni ya baba riz1
Dah.....hii habari imenishtua sana......ni kweli nilipita pale nikajua ni mambo ya mafurko na nini.....kumbe wajeda wamemind.....ndio maana ile mida mida yetu maeneo ya clock tower magari yanajazana sana.......natumaini Lily Flower umepata jibu la mkasa wako wa juzi mpaka ukaamua kuingia atm stanbic......teh teh teh......wajeda hoiyeeeeeeee.........
Ndugu; haya madaraja ya Wajeda hukaa kambini kwao mahsusi kwa ajili ya dharura tu na ndio maana baada ya muda flani kupita huwataka wahusika serikalini kujenga madaraja yao ya kudumu ili wao wayarudshe yao stoo kwa matumizi pale yanapo hitajika tena kwa dharura