Jwisi ya tarehe 19 October ipo sokoni

Jwisi ya tarehe 19 October ipo sokoni

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
42b5054c236bb941320560eb09cbd35a.jpg
 
Mbona tutakula vilivyooza na mpaka basi na nguvu za kiume zitaisha sana kwa kizazi chetu wacha waganga waongezeke tu wale wanaoongeza hizo nguvu.
 
daa ndio juice zangu hizo sasa naona nilikuwa nipotea njia, siwaamini tena azam na juice zao, hakuna pa kukimbilia ni kunywa maji tu.
 
Hivi ni Azam hiyo!? Nahisi tumbo limeanza kuuma ghafla pamoja na kuwa nilikunywa jwisi yao juzi!!
 
Hii ingetokea kwa wenzetu juice zote za kampuni hiyo zingeondolewa maduka yote.
Lakini acha tuvumilie tu who cares
 
Kama heading ya taarifa yako yenyewe imeandikwa Jwisi badala ya Juice au Kiswahili wanaitaje sijui hakuna tofauti kati yako na aliyefordward date kwenye hiyo product.
wewe pia hapo kwenye red unaonekana haupo tofauti nao
 
Halafu JPM alialikwa na wazalishaji kutia nguvu katika uzalishaji wa mambo hayohayo..
 
Hawajui kwamba rais hapendi watu waongo kama wa uwanja wa ndege? Sasa wamedanganya watu wake ngoja tuone.
 
Kama heading ya taarifa yako yenyewe imeandikwa Jwisi badala ya Juice au Kiswahili wanaitaje sijui hakuna tofauti kati yako na aliyefordward date kwenye hiyo product.

Mleta mada ameandika "Jwisi" kama satire
 
Back
Top Bottom