Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
yah najua hilo,ila nahiisi mpk uwe umeinstall software husika,mimi nilikuwa nimeweka avg so nimeilock tu,kwa sasa na nimeacha ujumbe wa maandishi kwenye sceen ya simu,kwa kifupi hatoweza kuitumia yoyote atakayobahatika kuipataPole. Nackia kuna utaalam wa kuweza kujua ilipo simu yako hebu tafuta msaada kwa wanaojua kuhusu hili.
kweli kabisa unayoyasema niapokaa mimi huwezi kapaita completely uswahoolini na hata nyumba ninayoishi haijajengwa kiswahiliswahiilli kwa kifupi na kwamb huyu mwizi/wezi wameruka ukuta na kuiiba.nikipata time naweza nikatupia picha ya nyumba!!acha undengereko wako hama uswahilini wizi wa dirishani wa kishamba mno na wa kiswazi.
sasa si inategemea simu gani lakini mkuu,mtu anaibiwa mbuzi wanatoana roho sembuse simu!!!!Kumbe cm tu me nilizani gar
yaani week end yangu yote wameniharibia,sina hata cha matanga wala nini,mnamuwachia mungu tu!!!Aiseee. Bora wangekuibia kabla ya besdei, labda ningekupa zawadi ya torchberry. Pole mwaya.
Sasa matanga tunafanyia wapi?
wangekuwa wezi wa maana wangevinja dirisha,na kuiba t.v,radio n.k,by the way wamenipa somo,mtu unakuwa mgeni saa ya kwenda tu!!!!halafu bado unawadharau unawaita uchwara!ngoja waje kumalizia hizo earphones na charger ndio utawapa heshima yao
dah asante nishapoa!!!Pole sana mkuu
mbezi analogue,nishaanza kuzoea nw!!!mitaa gani unaishi mkuu wanakoiba simu kupitia dirishani?
Pole ndugu yangu.
kweli kabisa unayoyasema niapokaa mimi huwezi kapaita completely uswahoolini na hata nyumba ninayoishi haijajengwa kiswahiliswahiilli kwa kifupi na kwamb huyu mwizi/wezi wameruka ukuta na kuiiba.nikipata time naweza nikatupia picha ya nyumba!!
kweli ila simu hhatofaidika nacho chocohote coz nimeilokia mbali!!!Tushuruku kwa kila jambo.Namshukuru mungu wewe uko salama na simu utanunua nyingine.
inshaalh ntkuwekea kesho.nasubiria picha