JUX na Vee Money mpambano unaendelea

JUX na Vee Money mpambano unaendelea

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,247
Reaction score
25,191
Habari wakuu,

Bwana mi nimewamiss,

Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.

JUX kwanini aoe Nigeria?

Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.

Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.

Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.

Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.

Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.

Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.

Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.

Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.

Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
 
Ya jux na Vanessa waachie wenyewe.
Wewe njoo tuyajenge yetu...

Cc: Mahondaw.
 
Hili andiko linaonyesha the real art of imagination.
 
Kwa mtazamo wangu naona jux ndiyo anatumia nguvu kubwa sana aonekane na yeye kajibu, ila Vanessa alishaondoka zamaaani kwake na ndiyo maana hakuwa na mashow off mitandaoni sidhani kama Vanessa anawaza kushindana na jux kwenye mahusiano ilihali yeye maisha ya ndoa kayaanza kitambo
 
Back
Top Bottom