Hahaha.......tuwaombee heri ππNitasikitika nisipopata mjukuu hapa
Moyo wangu umejaa furaha kwa ajili yao.Picha inaongea...
View attachment 3313296
NiaminiJamani tenaaπππ
Mwanamke ni yupi hapo, mbona wote wamevaa hereni?Picha inaongea...
View attachment 3313296
Imeongea imesemaje?Picha inaongea...
Kama ni mechi ya mpira wa miguu, mpira umeisha Nigeria 2-Tanzania 2 π€Jux ndo katulipizia alivyochukuliwa Vee Money Nigeria?