Jux ft Diamond sugua ni fire

Jux ft Diamond sugua ni fire

Leo msanii jux ameachia video yake aliyomshirikisha mondi a.k.a baba lao.Hii video unaweza kusema mambo manne creativity, passionity, proactivity and timing

Yaani imewakutanisha wakali wa fashion na wametisha ile mbaya.Hii ngoma itampaisha Sana jux kimataifa ni hit song
Wimbo wa kawaida sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom