Jux - As Long As You Know!

Nirekebishie tu pale, ki english..
Ili nisije umbuka tena[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787].......
Neno ulilolikosea ni "favourite" wewe uliandika favorate.


Ingekua hivi[emoji116][emoji116]

Jux, my favourite artist of all time......hiyo "all the time " hapo pia ilikua haitakiwi. Ila usijali ndio kiingereza chetu cha kibongo yaani ni mwendo wa "the" "the" everywhere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Basi basi basi mamaa inatosha
Nirekebishie tu pale, ki english..
Ili nisije umbuka tena🤣
Ooh thanks
Hapo kwenye 'the ' sasa...
Nitapafanyia kazi👍👍👍
 
Hakuna tofauti ya meaning kati ya favorite na favourite. Tofauti ni maandishi tu. Kwa hiyo kwa hilo hajakosea. Kosa lake ni kwenye maneno: all the time. Alitakiwa andike: all time
 
Mazee hi ni zaid ya pin
Tangu asubuh saa4 iko repeat hadi sahzi daaah[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jux huwa anaimba sana huyu jamaa
Kuna moja inaitwa zaidi naikubali sana.

Na huu wimbo umetrend sana kabla alikiba hajaachia utu (video)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…