Juve hawanifurahishi.nataka striker wawili wa maana na viungo wawili na mabeki wawili wa pembeni wepesi kupanda na kushuka.pole mkuu Chomba lakini sifurahii sana maisha Turin mwaka huu.nahitaji Legendary Juventus irudi,kama ile iliyokuwa chini ya marehemu mzee Umberto Agnelli,luciano Moggi,marcelo lippi n.k.bado hatuna timu nzuri.tumejaza kwa quantity but very few Quality!pia nahitaji usajili wa kueleweka milan,inter,roma,napoli na lazio.bila hivyo ligi yetu inakufa!naomba niwe muwazi waungwana sifurahii maisha seria a mwaka huu.sijui kama hizi ni stress za UEFA ndio bado zinanisumbua au la!Chomba niacheni tu nipumzike,gap la uchumi kati ya seria a na ligi nyingine linaniumiza kichwa sana aisee!linaonekana wazi sana.huyu Marotta na sera za kusajili wachezaji walioexpire mikataba huyu ndo ananichanganya kabisa,ah!sina raha mwenzenu!