Juventus Special Thread

Kwa SS Juventus ni moja ya club yenye kikosi Bora ulaya na naitabiria mema kuanzia Serie A mpaka UCL mziki wake utakua si wa kitoto na kuhusu Cr7 bado ni mchezaji mzuri tu na Juve walikua sahihi kumchukua kama huipendi Juve utapata tabu sana msimu huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom