Leo wamehuzunisha wadau wengi wa soka hasa wa Juve.Weeee!!! Uwiii matusi hayo sasa!! Tuwasamehe ndo soka lilivyo kupoteza ni fasta siku hazilingani!!
Tuwaombee wajipange msimu ujao wa UEFA!!Marking ya Leo ilikuwa mbovu sana na tangu first half.
Halafu higuan sio kila mechi anastahili kuanza na pia Eduardo sio kila mechi lazima atokee benchi.
Hehehe usinifanye nicheke!!!Hivi kumbe ule msemo wa kwamba ronaldo anavunja record za Messi wakati huo Messi anaweka record zake mwenyewe ni kweli?
Real Madrid ya Zidane huwa inacheza sana vizuri kipindi cha piliToday juve players looked too amateurish in second half, ile temperament waliyoanza nayo kipindi cha kwanza ilipotezwa ghafla na casemiro!! Na hapo ndipo walipo mruhusu isco kufanya atakavyo.
Hehehe usinifanye nicheke!!!
Wakikujibu hili swali utanijuza Mkuu.
Yah...ni kweli kabisa.Real Madrid ya Zidane huwa inacheza sana vizuri kipindi cha pili
Ahahaha.... Ebana halafu tuliwamisi ujue!? Nyie sio wakukosa hii michuano bana sasa hivi tunawakilishwa na akina spurs wanaoishia hatua ya makundi bora hata sisi tunaotoka mtoano baada ya kukutanishwa na wababe mwisho wake sasa tumeona tupunzike tu kushiriki.Tuwaombee wajipange msimu ujao wa UEFA!!
The red devils tunakuja kwa kasi ya kimbunga cha Catharine na tutasambaza vilio kwa viwanja Vyote barani Uropa mithili ya number ten plague Egypt.
Spurs yule Joka la kibisa UEFA hana sumu.Ahahaha.... Ebana halafu tuliwamisi ujue!? Nyie sio wakukosa hii michuano bana sasa hivi tunawakilishwa na akina spurs wanaoishia hatua ya makundi bora hata sisi tunaotoka mtoano baada ya kukutanishwa na wababe mwisho wake sasa tumeona tupunzike tu kushiriki.
Hongereni sana kwa kurudi uefa lakini kazi kubwa ya kwanza mliyonayo ni kumnyoosha huyu bingwa wa Leo kwenye uefa super cup.
Juve naipenda sana, ila nimejifunza tusiwe na mapenzi yaliyozidi kipimo maana maumivu yake yanachoma sana. Forza JUVENTUS. Msimu ujao nitaangalia mechi za serie a tu maana timu zinazotusumbua za EPL zote zimerudi, hivyo naona kama mwisho wetu ni 16 bora.
Spurs yule Joka la kibisa UEFA hana sumu.
Nyinyi sihuwamnashiriki UEFA ili mtunishe mfuko wa fedha....2006 Barc vs arsenal itachukua century kupata nafasi kama hii.
Super cup Kobe kumshinda sungura katika riadha kitabu shule ya msingi..I believe in Jose.
Shabiki wa CR7 ambao ni man u watabaki wanahang hang watashindwa wakae upande upi .
Ndio hata mimi nakubaliana na wewe, japo utafiti si wa asilimia 100...Mashabiki wengi wa man u ndio mamluki wa madrid, sijawahi ona shabiki kweli wa madrid akaipenda man u ila 90% ya mashabiki wa man u ni madrid kindaki ndaki
Tatizo tunabomoa timu tena.Alves huyoo,Bonucci nae mguu ndani nje,Cuadrado hakieleweki.DC ndani ya nyumba. Finoallafine