Safi sana kumbe unawajua kweli hawa watu wa mchambawima hawana akili kabisa.Ukitaka asicomment kitu weka ungéngé hapo. In fact fact hiyo fedha hata ikilazimishwa kulipwa lazima imtokee mtu puani. Kama si leo historia itaongea.
Thats just how a corrupted gvt works, buh GOD willing these country will change way soon for the better.
We can all be sure that this is the time for making the change n we are that generation that will cause the manifestatiuon of the change.
Yaani nchi bana...kila siku nawapa benefit of doubt watu wa inteligensia..
wanacheza vizuri karata zao na wanajua jinsi ya kuwapoteza wabongo coz ya mambo ya kishabiki.
haya ya kina sita ,mwakyembe et all ni propaganda na mbinu za kijasusi ili kunyamazisha yale yaliyotokea Arusha..
ha ha ha ha..Ngeleja na Mwanasheria Mkuu hawajakurupuka tu,unakumbuka Ngeleja alizungumza suala hili lini?tena ghafla...na magazeti yanaandika habari gani kwa sasa?
Kama ni kuanza kuwalipa dowans basi wawekwe kwenye queue kama wadeni wengine ili mjadala ukiisha na taratibu za kuiandikisha mahakama kuu zikikamilika tuwe na majibu.
Walidhani kwa kumfanya naibu waziri angenyamaza