Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,791
- 218,420
Toa maoni yako
YaahHuyo aliyesimama ni nani? Ni Dr. Kakurwa?
Watu wazuri hawafi
Hakuna cha ajabu, labda umezaliwa juzi! Kwenye maisha ni mambo ya kawaida.
Nahisi kuna mmoja alukuwa anaomba lift hapo, au hela ya adaSamahani mkuu, hao ni akina nani...🤔😎
Si afadhali Polepole Chakubanga...Aliyekuwa anahojiwa Sasa ndio master.
JPM kawaachia watu mazingira magumu sana ya maisha.
Polepole kaenda kutupwa huko ziwa nyasa
"Watakatifu wanangu."Samahani mkuu, hao ni akina nani...🤔😎
Picha hii imepigwa Magufuli akiwa Rais na Dr. Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.
Alikuwa anaomba lift au
Yani ungetafsiri kwa kibantu ingependeza sanaHe who laughs last laughs best. Mambo bado
He who laughs last laughs best. Mambo bado
Ni wakati wa timu mtume kutawala nchi sasa.
Wakati si milele.. Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke