Justin.tv

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Hii movie channel ina stream
movie
nzuri sana ukifurahia movie unaweza kuitafuta katika quality bora zaidi.

http://www.justin.tv/b/movienight22

Ukipata ujumbe imekuwa blocked incriment last digit number i.e movienight23, 24,25 etc


Hii ina stream mambo ya elimu, nature , science universe
http://www.justin.tv/b/siiver_fox666#/w/424014000/28


I wish watu kama wa wizara ya utalii wangetumia njia hizi za bure ku strema vidoe za kuomyesha vivutio vya tanzania na kuwavutia zaidi watalii vijana wanaotumia sana mitandao.
 
Back
Top Bottom